Furahia usawa kamili wa faraja na thamani kwa kutumia godoro letu lenye ujazo wa density ya 28. Imefungwa kwenye kitambaa maridadi cha jacquard, kinacholeta uimara na mvuto wa kupendeza na kushangaza.
Limeundwa kwa ajili starehe ya kila mahali, ni chaguo bora kwa familia na matumizi ya kila siku. Arusha Deluxe limechanganya ufundi,bora na uwezo wa kuhimili uzito wowote kwa mtumiaji.
Godoro hili linapatikana katika saizi tofauti tofauti kuanzia 2.5'x6'x3" hadi 5x6x16" na 6'x6'x16".
Arusha Deluxe ni thamani halisi kwa pesa zako.